Tatizo la Unyafuzi

Unyafuzichirwa au kwashakoo ni aina kali ya utapiamlo inayosababishwa na ukosefu wa protini ya kutosha katika chakula.


Dalili ya unyafuzi ni upungufu wa uzito, kuchoka sana, na uvimbe wa tumbo.
Nywele kunyonyoka

Njia pekee ya kupambana na tatizo hili ni kula vyakula vilivyo na protein ya kutosha Kama
Nyama za aina mbalimbali (ng'ombekukumbuzisamakimaini na kadhalika),

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Mazoezi ya kuondoa kitambi

Faida za tunda Topetope (Stafeli)

Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume