Jinsi ya kupunguza mafuta ya mwili bila kufanya mazoezi
Kama huna muda wa kufanya mazoezi, lishe yako itasaidia sana katika kupunguza mafuta mwilini. Kwa kawaida mwili hutunza wanga kwa njia ya mafuta, kwa hiyo njia rahisi ya kupangilia vyakula vya wanga itasaidia kupunguza mafuta.
Njia zifuatazo zitasaidia kupunguza mafuta mwilini.
1. Punguza ulaji wa vyakula vya wanga mwilini. Mboga za majani na matunda huwa na wanga kidogo ukilinganisha na vyakula vya viwandani kama biskuti, chocolates na vyakula vingine jamii ya ngano.
2. Tumia mafuta yatokanayo na mimea katika mapishi. Epuka matumizi ya mafuta yatokanayo na wanyama badala yake tumia mafuta ya alizeti, karanga, nazi na mawese/chikichi.
3. Jaribu kutumia sahani ndogo wakati wa kula ili chakula kionekane kingi na upunguze hamu ya kuongeza chakula.
4. Punguza matumizi ya vinywaji vya wanga kama vile soda na pombe na pia ongeza kiasi cha maji ya kunywa kila siku mpaka kufikia lita tatu kwa siku. Kunywa maji mengi kutasaidia kujihisi kushiba na mwili kua na maji ya kutosha.uu

Maoni
Chapisha Maoni